Ni muda mchache tu umebaki tujue nani kaachwa na nani kabaki kwa waheshimiwa hapa juu.
Habari zilizotufikia ni kwamba uenda BARAZA halitatangazwa leo.
hapana shaka hii itaongeza presha kwa baadhi ya waheshimiwa ambao hawana uhakika ama kubaki au kuondoka.
No comments:
Post a Comment