Mbunge wa Same Mashariki CCM Anne Kilango asema,
- Viongozi wetu Wametutia Aibu sana.
- Mtoto ukimwambia acha ndio wamtuma, aliambiwa au aliandikiwa walaka kuwa acha kuzungumza Richmond ndo wakamtuma kufatilia zaidi.
- Tumechoka kubuluzwa sasa kazi ni moja tu,
- Richmond ni kama Masumin yaani kampuni ya vifaa vya ofisini tu na si kuzalisha Umeme.
No comments:
Post a Comment