January 5, 2008

WAPINZANI DAR WAGWAYA POLICE,,,
TIBA AWAPIGA BAO WAPINZANI
YALE MAANDAMANO YALIYOPANGWA KUFANYWA NA VYAMA VYA UPINZANI DAR KUPINGA MATEKEO YA UCHAGUZI KENYA YALOMRUDUSHA RAIS KIBAKI MADARAKANI NA KULETE MACHAFUKO AMBAKO WATU ZAIDI 300 WAMEUWAWA HAYAKUFANYIKA TOKANA NA ULINZI MKALI ULIOWEKWA NA ASKARI JIJINI PAMOJA NA KUSISITIZA KUWA LAZIMA YANGEFANYIKA LEO. Kulikuwa na ulinzi mkali toka alfajiri leo maeneo ya Manzese mahakama ya ndizi ambako yalipangwa kuanzia hadi stand ya mapikapu ambako ndipo viongozi hao wangehutubia.
Hali hii ilimlazimu mratibu kuwaita waandishi na kuongea nao uchochoroni maeneo ya Kinondoni badala ya Manzese, lakini mkutano huo ukafa ghafla mara baada ya walinzi wake kumjuza kuwa FFU walishafika eneo hilo nea kuingia mitini.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...