December 31, 2007

Msiyakumbuke Mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani, tazama nitatenda neno jipya.... asema BWANA WA MAJESHI. Isaya 43:18,19 Ujumbe huu ni kwa ajili yako na yangu pia. BWANA ASEMA ATATENDA JAMBO JIPYA MWAKA HUU HAIJARISHI NI MAGUMU YEPI UMEPITIA MIAKA ILOPITA, HUU NI MWAKA WAKO WA BWANA KUTENDA MUUJIZA KTK MAISHA YAKO. Hakika ahadi za Bwana ni kweli na amini, hivyo mwaka huu 2008 tarajia muujiza wako. HERI YA MWAKA MPYA 2008.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...