November 14, 2007

"PANAPOFUKA MOSHI CHINI KUNA MOTO" Jamani mi namsifu sana JK, hili lilikuwa lishawekwa chini ya busati mara baada ya boss PCCB kusema kuwa hakuna kasoro yoyote ktk mkataba huu au hakuna kigogo anayehusika nalo, lakini nasikia kwa shinikizo la Mh JK sasa limeundiwa tume kuhakiki, Huu moshi unaofuka utaibua nini? Kwa kweli ongela sana Mh kwani sasa hakika tunaimani kuwa mengi yanayolalamikiwa na wananchi yatafanyiwa kazi na kurejesha imani na heshima kwa wapiga kula wako ambao bila shaka ilikuwa yapungua kiduchukiduchu. BRAVO JK.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...