July 9, 2007

UDSM-FCM Almuni Association formed,,,
Viongozi wa Umoja wa waliosoma UDSM Kitivo cha Biashara na Uongozi, L-R David Shambwe Katibu Mmwenezi, Itandula Gambalagi Mkurugenzi, Nehemiah Kyando Mchechu M/kiti na Rebecca Muna wakiongea na wana habari juu ya tukio kubwa la wadau litakafanyika Trh 3/8/2007.
Iki ni Kitivo muhimu sana kwa taifa letu hasa kulingana na hali ya dunia inavyoenda hapa wanazalishwa watu muhimu ktk kukuza uchumi wetu, sio siri ukiangalia makampuni mengi kwa sasa yanapendelea kuajiri viongozi toka nchi jirani au hata ulaya kwa kazi ambazo wabongo wanaozalishwa hapa wanaweza kuzifanya,
ni wakati muafaka sasa kuwajengea wahitimu wetu kujiamini ktk uwezo wao kwamba wanaweza kufanya na zaidi ya hao wanaodhaniwa ni bora toka ng'ambo.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...