June 14, 2007

Utalii ktk jiji la Berlin hapa Udachi umeshika kasi si mchezo kila kitu ni kivutio cha utalii hadi Bunge au kwa ni Bundestrat, kwa walio Dom si rahisi kuamini hili hasa ukizingatia wigo mkubwa wa ulinzi unaotenganisha wapiga kula na wapigiwa kula uliopo kwa sasa ktk jengo lao jipya!!!! ndio ni lao na sio letu washangaa nini? ina maana hujui? Basi hapa udachi watalii wapatao milion 13 utalii jengo hili nami pia nikiwemo kwani jana tu nalitalii hapa, na pia Rais Karume naye nasikia alitalii hapa pia hivi karibu. si siye tu Clinton pia ni mmoja wao. mmmh ndo raha ya kamera hiyo.....

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...