October 6, 2006

Miili ya Walter na Vonetha wakati wa ibada ya mazishi Leaders Club. Ilikuwa ni simanzi na majonzi wakati Baba mzazi wa Walter Capt George Mazula alipoelezea umati wa waombolezaji jinsi wachumba hawa ambao walizaliwa mwaka na mwezi mmoja na kufa siku moja jinsi walivyouwawa kikatili, Uchunguzi wa kina tunaamini unafanyika ili kubaini wauwaji na chanzo cha mauaji haya ya kutisha na Polisi ya marekani kama ambavyo tumeambiwa. naamini US si kama bongo nasikia kuna kamera kila mtaa zinazofatilia mienendo ya watu, hivyo nadhani yawezekana tukapata taarifa mapema na sheria kuchukua mkondo wake. Mungu alaze roho za Marehemu mahali Pema peponi. Ameni. Bwana amotoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...