September 30, 2006

Kwa amani kabisa wamachinga wametii mamlaka na kuamua kuondoka maeneo yasiyo ruhusiwa kwende wanakopaswa, kinyume na matarajio ya wachache waliodhani au kuomba damu imwagike. Tz ni nchi ya amani kweli.

1 comment:

Born 2 Suffer said...

Kweli imependeza vizuri hamna fujo ya watu, Lakini manispaa ya jiji ingepatengenza vizuri na kuweka mataa na kupanda miti mizuri ya kinvuli na viti vya kumpumzikia, kama posta na sehemu zingine, hata wageni watalii wakija watafurahi na kuipenda zaidi Tanzania.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...