March 7, 2015

JAPAN KUJENGA WODI YA WAZAZI MONDULI,



Serikali ya Japan imetoa msaada wenye thamani ya Dola za Marekani 142, 251 kwa jimbo la Monduli kwaajili ya huduma ya afya jimbobi humo na ujenzi wa wodi ya wazazi na vifaa tiba.


Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika ubalozi wa Japan ikiongozwa na Kaimu Balozi wa Japani Bw Kazuyomi Matsunaga, na kuudhuliwa wa watu mbali mbali akiwemo Mbunge wa Jimbo hilo Edward Lowasa, Mbunge wa viti maalumu Nameloki Sokoine.  

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...