August 25, 2011

News Alert! Kikwete amrejesha likizo Jairo........Akijibu swali la Mh Freeman Mbowe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa tayari Rais ameshachukua hatua ya kumsimamisha kazi (kumrejesha likizo ya malipo) Katibu Mkuu, Nishati na Madini Ndugu David Jairo wakati huu ambao kamati teule ya bunge (inaundwa) inafanya uchunguzi.

source tbc 1

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...