tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post9079369527008889390..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: sababu hii pekeee au ni zaidi??Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-60893882249491750922011-08-21T15:07:15.327+03:002011-08-21T15:07:15.327+03:00Wabongo mnaongea sana sasa kipi cha ajabu wewe msi...Wabongo mnaongea sana sasa kipi cha ajabu wewe msichana humjui nini la ajabu nendeni mkaishi uarabuni kama hamuwezi kuvumuliaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-75583691545703807982011-08-12T06:20:50.257+03:002011-08-12T06:20:50.257+03:00Angekuwa mama au dada yako au binti ungeendelea ku...Angekuwa mama au dada yako au binti ungeendelea kulisha hiyo mimacho yako? Shenzi na kumbaff kabisa. Na ukome kusifia upumbavu. Hawa wanaojiweke uchi si ajabu wameishaikwaa miwaya wanatafuta wapuuzi kama anon hapo juu waondoke nao kirahisi. Kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza. Ukiona mama amefika level ujue si chochote si lolote bali nung'aembe linaloweza kumchukua yoyote haka kama ni chizi. Nadhani hii ni aina fulani ya kichaa kitokanacho na ulimbukeni. Kwani majuu wakila mavi nanyi mtakula? Pumbavu tena kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-91362320475917450962011-07-22T15:09:59.608+03:002011-07-22T15:09:59.608+03:00Mimi nazani waendelee tu kukaa uchi, maumbile yao ...Mimi nazani waendelee tu kukaa uchi, maumbile yao yanavutia sana, maumbile yao ni chakula cha macho yetu wanaumme. Wanawake ni maua ya dunia acha yachanue yapendavyo!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-39551488441869506142011-07-13T23:10:38.570+03:002011-07-13T23:10:38.570+03:00Watanzania tuwache unafiki, Hawa dada zetu kutovaa...Watanzania tuwache unafiki, Hawa dada zetu kutovaa chupi wanapoenda matembezi,Inatokana na kaka zao kuzidi kufanya Vitendo vya Ushonga.Kwa hiyo WT tubadike.Tumurudie Mwenyenzi Mungu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-19971661775569438172011-06-25T18:21:45.337+03:002011-06-25T18:21:45.337+03:00tatizo ni ushamba wa dada zetu kila kitu kuiga, wa...tatizo ni ushamba wa dada zetu kila kitu kuiga, wanaiga hata mambo mabaya mazuri wanayaacha. wakati huohuo wanadai heshima, wanataka heshima wakati wao wenyewe hawajiheshimu, aibu tupu!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-52225928568195558852011-06-16T20:30:34.680+03:002011-06-16T20:30:34.680+03:00Akili duni za akina dada zetu ndio zinawafanya kuf...Akili duni za akina dada zetu ndio zinawafanya kufanya hivyo. Leo unafanya hivyo ,,kesho mtoto wako akifanya kama hivyo unalaumu,,, unalaumu nini wakati wanaiga toka kwenu. Dada zetu heshima ni kitu cha bure kwanini msijiheshimu !Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-52099341245147842832011-06-15T05:41:49.722+03:002011-06-15T05:41:49.722+03:00Katika taifa lenye maadili mzuri,huo ni uchafu na ...Katika taifa lenye maadili mzuri,huo ni uchafu na tena ni umalaya.Na kwa taifa lisilo na maadili mazuri kama letu(Tanzania) hiyo ni bomba. Utafanikiwaje kupiga vita ukimwi wakati watu wako wanajiuza? kutovaa chupi usiku ukiwa out ni kwamba uko tayari kwa ngono popote,wakati wowote na kwa yeyote. Hakuna kipindi Tanzania iliwahi poteza mwelekeo kama kipindi chote cha JK. Ni ufuska kila kona.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-55837907713621836902011-06-15T03:53:32.817+03:002011-06-15T03:53:32.817+03:00Kwa mtindo huu mie wacha nitafute miwani ya mbao m...Kwa mtindo huu mie wacha nitafute miwani ya mbao maana tinted haitasaidia huu ni ulimbukeni tu wengine vitovu nje mashanga yamejaa viunoni utadhani waganga cjui shida iko wapi wavae tu kiheshima tutawaona kama ndio point yao eti hatuwaoni!Rik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.com