Packard Bell Store & save 3500 400GB
Brand - Packard Bell
Category - External Hard Drive
Specification - 3.5" - 400GB - USB 2.0
Nina External HDD kama hii hapo juu, kwa bahati mbaya sana ilidondoka na hivyo kushindwa kufanya kazi yaani haisomi kabisa, kuna dataz na images zangu nyingi sana ambazo ningependa nizipate.
Je wadau nnani anaweza kunisaidia kwa hili? au nifanyeje niweze ku - retrieve dataz nilizotunza humo?
1 comment:
I'm a big fan of the flash drives.. they are getting bigger every year.
Post a Comment