MKURUGENZI Mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa, ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), katika serikali ya awamu ya tatu, Dk Hassy Kitine ameonya kwamba, uchafu na wizi mkubwa wa rasilimali za taifa, mustakabali mbaya wa kisiasa na hali ngumu ya uchumi vinavyoikabili nchi, vinahatarisha usalama wa taifa.
Kauli ya Dk Kitine ambaye alishika wadhifa huo wa Ukurugenzi katikaIdara ya Usalama wa Taifa, wakati serikali ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, imetolewa wakati nchi ikiwa imegubikwa na matatizo mbalimbali yakiwemo ya ufisadi na vita ya chini kwa chini ya kugombea madaraka.
Akizungumza katika mkutano maalumu na baadhi ya vyombo vya habari katika mgahawa wa Viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam jana, Dk Kitine alionya kwamba, uchumi na maliasili za taifa zimeshikwa na wageni, huku Watanzania walio wengi wakifanya kazi za udereva, ufagiaji barabarani, kazi za ndani na mashambani. "Nimewaiteni kuzungumzia mustakabali wa nchi yetu, kama mnavyofahamu mimi nimeshika nafasi mbalimbali nyeti kuanzia wakati wa Mwalimu," alifahamisha. ICHEKI HAPA.
February 19, 2009
Dk Kitine: AZOZA.
Dk Kitine: Nchi iko hatarini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Mwanamuziki wa kizazi kipya TID au Khalid Mohamed akiwasili mahakama kuu kueleza nia yake ya kukata rufaa kifungo cha mwaka mmoja alichohu...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
Here are the TEN important things every Tanzanian should know about prostate cancer: About 1,250 Tanzanian men will probably ...
-
Non-communicable diseases are now the leading cause of death around the world, with developing countries hit hardest, according to a new...
-
VODAFONE YAPUNGUZA WAFANYAKAZI Vodafone ( VOD.L ), the world's largest mobile phone group by revenue, is to cut hundreds of jobs in Br...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
1 comment:
Amezungumza ya maana kuliko nilivyowahi kusikia la maana lolote katika siasa za Tanzania baada ya Nyerere J. Kambarage. Tatizo ni kuwa hao wanaozungumziwa hawataona ukweli huu bali watajitahidi sana kupinga na kupuuzia maonyo haya kama vile hayawahusu, na hapo ndipo chanzo cha kutokufika kokote katika hatua za kimaendeleo. Sijui tuna viongozi wenye ubongo wa aina gani.
Post a Comment