tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post7106355476878944156..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: Dk Kitine: AZOZA.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-74199685946737725562009-02-19T19:27:00.000+03:002009-02-19T19:27:00.000+03:00Amezungumza ya maana kuliko nilivyowahi kusikia la...Amezungumza ya maana kuliko nilivyowahi kusikia la maana lolote katika siasa za Tanzania baada ya Nyerere J. Kambarage. Tatizo ni kuwa hao wanaozungumziwa hawataona ukweli huu bali watajitahidi sana kupinga na kupuuzia maonyo haya kama vile hayawahusu, na hapo ndipo chanzo cha kutokufika kokote katika hatua za kimaendeleo. Sijui tuna viongozi wenye ubongo wa aina gani.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com