January 7, 2009

BONGO PIX YAPANDA THAMANI.

YAPATA MWEZI MMOJA ULIOPITA NILITEMBELEA WEBSITE HII AMBAYO UWA INATHAMINSHA WEBS MBALIMBALI NA KUZIPA THAMANI KULINGANA NA JINSI ZINZVYOTEMBELEWA NIKAKUTA BP IKIWA NA THAMANI YA $1540 NA USHEE LEO HII NIPOANGALIA NIKAKUTA IMEPANDA NA KUFIKIA $2284.9 NA WATEMBELEAJI WAMEONGEZEKA MARADUFU PIA. HIININI MAANA YAKE? NI KUWA NINYI WADAU NDO MLIOIPANDISHA KUFIKIA HAPO NA NDO MNAOWEZA KUIPAISHA ZAIDI IVYO NASEMA ASANTENI SANA WADAU KWA MSHIKAMANO TULIONYESHA MWAKA JANA KUFIKIA HAPO, TUZIDI KUSHIRIKIANA ZAIDI KWA MWAKA HUU 2009, NAMI NAAHIDI KUWA NITAZIDI KUIFANYA BORA ZAIDI ILI KILA UFUNGUAPO BASI UPATE BURUDANI, ELIMU NA UFAHAMU NA ZAIDI UPATE KUJUZWA YANAYOJILI HAPA BONGO NA POPOTE NITAKAPOKUWAPO. ASANTENI SANA WADAU.

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...