
Ujumbe huu wa Bible unifariji sana kila niusomapo na hasa kila nikutanapo na majaribu kadha wa kadha na zaidi katika ajira zetu hizi ambazo ni lawama kila kukicha hata ujui chanzo chake. Nina hakika ni msaada kwa wengi pia kwani yatupatayo waja wake hayana tofauti sana.
No comments:
Post a Comment