July 28, 2008
RIP Bhoke Munanka
Mazishi ya Mzee Bhoke Munanka yanatalajiwa kufanyika kesho ktk makaburi ya Kinondoni Jijini Dar,
Marehemu Munanka alikuwa ni moja ya mawaziri wa awamu ya kwanza ambaye amefanya kazi na Hayati Baba wa Taifa kwa ukaribu sana.
Lakini Mzee huyu atakumbukwa zaidi (japo uwa haisemwi sana ua haijawai kusemwa) kwa uamuzi wake wa kiadilifu wa kuachia madaraka mara mbili (1952 na 1972) ili aweze kufanya shughuri zake za kibiashara hasa pale ilipoenekana kuwa kuna mgongano wa maslai na shughuri ya umma.
Kulingana na Mzee Kaduma amabaye amewai kufanya kazi nae anasema huu ni uamuzi wa busara ambao Mzee Munanka aliufanya na ambao kama viongozi wa sasa wanapaswa kuufuta.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone:012- 342 4371/93 Fax: 012 – 430 43 83 E-mail: t anzania@cis.co.za ...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
No comments:
Post a Comment