April 3, 2008
Sakata la KUGOMBEA MAITI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni-Kinondoni leo imeamua mazishi ya mwili wa Marehemu Paulo Goliama aliyefariki wiki iliyopita yafanywe kwa usimamizi wa Mama Mzazi na Mke wa Marehemu na kwa dini ya Kikristo.
Marehemu aliwai kubadili dini wakati wa uhai wake kuwa Mwislamu baada ya kupata mrembo wa kiarabu na baadaye kurudia tena ukristo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
6 comments:
hii na iwe funzo kwa wale wote wanaobadili dini wanaamua kuoa au kuolewa na mtu kwa sababu ya kitu flani,baada ya kukipata basi anaamua kuacha hiyo dini.
hizi imani kati ya dini hizi 2 ukirsto na uislam ni ngumu sana na wanaojifanya kubadili ni wasanii sidhani kama wanakuwa wana mwabudu Mungu kiukweli.
mi nadhani kila mtu abaki na dini yake kama wawili mmeamua kuishi pamoja hii itapuguza matatizo kama yaliwapata familia ya goliama,binafsi nimepata kitu hapo.
mwenye dini yeyote bora kutafuta mwenza wa dini yake haya mambo ya kutanga tanga noma yake ndo kama hii.by mpenda dini
waislam waoe na kuolewa na waislam wenzao,hali kadhalika wakirsto waoe na kuolewa na wakristo wenzao ili kuepusha matatizo ya mitizamo tofauti ndani ya familia.
by mchangiaji
ASANTENI WADAU WOTE KWA MICHANGO YENU MIZURI, BADO NAKARIBISHA MAONI ZAIDI YA NINI KIFANYIKE ILI KUONDOKANA NA KADHIA HII,
JE LIPI LILILO BORA HAPA KUGOMBEA ALIYE HAI AINGIE KTK IMANI YAKO AU MFU AMBAYE HANA HAJUALO ILIMRADI HASHATUTOKA? WAPI NGUVU ZIELEKEZWE HASA?
Post a Comment