April 21, 2008

KWA KINA BABA TUUUU!

Kina baba mmeipata hii? najua wengine leo au jana baada ya kusoma habari hii mmeanza kuwaangalia wanenu au mlioambiwa wanenu kwa macho mawilimawili, hayo ndo mambo ya tekonologia ya kisasa au kipimo kinachoitwa DNA kinavyosema kwa ndoa zilizopimwa au walokuwa na mashaka na wenza wao.

1 comment:

Anonymous said...

JAMANI HII STORY SI NZURI MNATAKA KUVUNJA NDOA ZA WATU SASA,
FIKIRIA ITAKUWAJE PALE BABA WA WATOTO WANNE AU SITA AMBAO ANADHANI NI WANAE KABISA NA HIVYO KUWAJIBIKA KISAWASAWA KWA MALEZI NA ELIMU TENE YA GHARAMA, JE ATAKAPO TIA SHAKA NA KWENDA NA KWENDA KUWAHAKIKISHA NA KUGUNDUA KUMBE NI KANYABOYA JE PATATOSHA HAPO KWELI?

NA HILI TULITARAJIE WAKATI WOWOTE KWANI AKA KASTORY MABABA KAMEWAGUSA KWELI,

HUENDA KINAMAMA WADANGANYIFU WAKAKAUNDIA TUME AKA KAMTAMBO NA KUKADISTROI KALINDWE NA FFU AKA NA MIBOMU YA KUTUNGULIA NDEGE VINGINEVYO TWAJAKAKOSA SASA HIVI.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...