January 19, 2008

TWIGA STARS
Timu yetu ya taifa ya soka ya wanawake Twiga Stars imeanza kambi kwaajili ya maandalizi ya mechi yao dhidi ya Cameroon mwezi February.
Twiga stars wanaitaji mchango wenu wadau wa sports wa kila hali hili kuwawezesha kushinda mechi hii na pengine kuchukua uchamps,
shime wapenzi wote wa sports tuipe kila aina ya support timu yetu hii ili nani ajueaye yaweza kututoa kimasomaso,
kwa kutambua hilo blog hii itakuwa inaweletea maendeleo ya timu yetu hii kila siku na pia picha zake hazita wekwa lebo ili wana blogger wapenda soka watakuwa huru kuzitumia ktk blog zao hasa rafiki yangu haki ngowi ili wanaotembelea blog zenu wapaje ujumbe na wanaotaka kuchangia basi wawasiliane nami ili niwaeleze namna ya kuchangia kwa ajili ya timu yetu.
TIMU iko chini ya mtaalamu Charles Mkwasa akisaidiwa na Siwa kwa upande wa makipa.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...