Hili ndilo vazi lilishinda RAFDA 2007 toka kwa mbunifu Hilda Bandio amabye alikuwa mshiriki mkubwa kuliko wote,
Vazi hili limetengenezwa tokana na majani makavu ya migomba na kuungwaungwa kitaalumu na kupata gauni bomba kama hilo, kweli umri si kikwazo chini ya jua na pia hakuna lisilowezekana,
No comments:
Post a Comment