
Sina hakika kama ujumbe huu hapo chini wengi wameuona, lakini jambo lililonivutia macho ni hako kakikapu juu, kalikuwa kamejaa "dhana" lakini kufumba na kufumbua kalikuwa katupu kabisa na zaidi ni madenti tena mabinti walozichangamkia kama njugu.....nadhani hata ungeweka pipi zingebaki...Mhhhhh
No comments:
Post a Comment