Hatimaye Chama cha Wanachi CUF kimeitika wito wa Rais Kikwete na kukubali kurudi ktk meza ya majadiliano juu ya Muafaka wa Zanzibar. Hii ni hatua ya kupongezwa na wote wanaoitakia mema nchin yetu.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif akisoma tamko hilo. Mungu Ibariki Tanzania.

No comments:
Post a Comment