February 5, 2015

Hongera sana Mr and Mrs W. Mbezi.


%
You are now enjoying 71% Total Bonus payout as per Edmark Double Bonus marketing plan, this include car fund and House fund. You have achieved this within less than 3years doing business with Edmark, that is good news.

This opportunity is for everybody although not everyone is for this opportunity.




Dream Car, Dream House in 3 years


Je itakugharimu muda gani kwa mshahara wako au kipato chako cha sasa kuweza kumiliki nyumba ya ndoto yako (Mpaka Tsh 700M)  au gari ya ndoyo yako (Mpaka Tsh 150M)? 


Wengi wetu tunapokuwa shule au vyou na mara tuaanzapo ajira au biashara uwa tunakuwa na ndoto kubwa za mafanikio, zaweza kuwa kubwa za hata kumiliki ndege yake binafsi ama kumiliki mtaaa kama Bekham kama si kuwa mtalii mwezini siku moja, zote ni ndoto ama maono, jinsi gani kufikia muda gani kutimia inategemea sana na mpangokazi mtu aliojiwekea kufikia maono yake.


Nyingi ya ndoto hizi uwa hazifanikiwi au ulazimika kusubiri sana pale mtu anaostaafu ndipo aweze ama kujenga, kufungua biashara au kununua gari, na tena sio ya ndoto yake tena. 


Wengine utafuta njia mbadala kufikia malengo yake ya kuishi maisha ya mafanikio, wapo watakaoamua kukopa kwa kudhaminiwa na mwajiri na kubakia katika kifungo cha ajira muda wote wa mkopo, wengine huamua kuchukua njia za mkato, kwa kudai na kupokea rushwa au kuanza kumwibia mwajiri, mwajiri aweza ibiwa muda, pesa, mali au vyote, hapa ndipo ufisadi unapoanza. 


Ukweli ni kwamba kila mwanadamu mwenye utashi utamani kuishi maisha mazuri na yenye furaha na amani tele, lakini sio wote ufanikiwa kuyapata.


Je kuna uwezekano wa kuishi maisha ya mafanikio, ya furaha na amani  na uhuru na kufikia malengo pasipo kulazimika kupokea rushwa?
Je yawezekana kumiliki nyumba na gari kufikia mamilioni yote hayo kwa muda mfupi pasipo kulazimika kuwa fisadi? 



Mr and Mrs William Mbezi ni baadhi ya watu waliogundua njia hiyo, kwa muda usiozidi miaka 2 wamefanikiwa kutimiza baadhi ya ndoto zao, Mwezi wa kwanza walikabidhiwa gari, na ifikapo mwezi wa 12 mwaka huu watakabidhiwa nyumba, hawa wanafuata nyayo za Fred ambaye alikuwa wa kwanza kwa Afrika Mashariki kukabidhiwa gari, naye muda muda wowote atakabidhiwa nyumba yake yenye thamani kubwa tu.   



Mwaka huu kampuni itakuwa inatimiza miaka mitatu, watu zaidi ya watano wameshafika vigezo vya kukabidhiwa magari yao, haya si mkopo bali ni stahiki yao kwa biashara waliyofanya na kampuni. Hii ni kutokana na mpango wa masoko wa Edmark. 



Wasilinana na Mbezi 0784475576 ikiwa wapenda kufahamu ni nini yeye na wengine wanafanya kustahiki malipo hayo, labda yaweza kuwa msaada kwako.  


Call +255784475576


No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...