December 10, 2014

BOOK - Siri za kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa.Siri za kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa.
Na NABII BG MALISA.
Mafanikio yoyote yana siri kubwa. Hakuna mtu aliyefanikiwa kama hakuwa na SIRI. Wafanya biashara wengi wanafanya biashara kwa kubahatisha tu, hawana siri zitakazo fanikisha biashara zao. Kwenye ulimwengu wa biashara hakuna neon “BAHATI” Kila mafanikio utakayoyapata yanatokana na siri au kanuni ulizonazo.
UTANGULIZI
Wafanyabiashara wengi sana siku hizi wanavilio vikubwa sana juu ya biashara zao, kwani hali za biashara siku hizi zinazidi kuwa mbaya kila kukicha.
Wengi wanachukua mkopo kwenye mabenki na wanashindwa kurejesha na huku wengi wao wakiwa wameweka rehani mali zao za thamani. Wengi wanaishia kufilisiwa mali zao na hizo benki na wanaishia kwenye maumivu makubwa sana.

Wafanyabiashara wengi wamejitahidi sana kuziombea biashara zao lakini ni kama maombi yao hayaleti matokeo, sababu ni kwamba hawajui kanuni za kufuta kwa ajili ya kuziombea biashara zao, ndio maana maombi yao hayaleti matokeo makubwa kwenye biashara zao.
Biblia inatufundisha kuwa mtu anaweza kuomba vibayaSoma Yakobo 4:3 “Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya…”
Ni kweli kabisa, wafanyabiashara wengi hawajui kuziombea biashara zao. Hawana kanuni wala ufunuo wa maombi kwa ajili ya kuziombea biashara zao, ndio maana pamoja na kujitoa sana kwenye maombi hawapati matokeo waliyoyakusudia.
Maombi yana kanuni zake, ili upate matokeo kwenye eneo lolote, lazima ufuate hizo kanunin au ufunuo, ndivyo ilivyo hata kwenye eneo hili la biashara. Ni lazima ufuate kanuni zote zilizoandikwa ndani ya kitabu hiki, ndipo utaanza kuona maombi yako yanavyoanza kufanya maajabu kwenye biashara yako.
Pia ndani ya kitabu hiki utajifunza maarifa mengi yatakayokusababisha upige hatua kubwa kwenye biashara zako, kwani ujinga ndicho chanzo kimoja cha watu wengi kushindwa ki-biashara. Ni maarifa pekee  yatakayokufanya kila siku upate FAIDA kwenye biashara zako.
 


Isaya 48:17, “BWANA, Mkombozi wako, mtakatifu wa Israel, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuta.”
 
NDANI YA KITABUHIKI UTAJIFUNZA MAMBO MENGI, KAMA VILE
Ø  Maombi ya kuhita wateja na pesa.
Ø  NGUVU YA JINA NA KUONDOA GIZA KWENYE JINA.
Ø  IMANI YA KUTAJIRIKA.
Ø  VIPENGELE VYA MAOMBI YA UPENYO.
Ø  SIRI 25 ZA KUFANIKIWA KI-BIASHARA
Ø  SIRI YA NYOTA YA UTAJIRI.
Ø  SHUHUDA ZA WALIOFANIKIWA KI – BIASHARA.
YALIYOMO.
1.       UPAKO WA KUVUTA WATEJA
2.       OMBEA MIKONO YAKO.
3.       UPAKO WA KUZIDISHA.
4.       MAOMBI YA KUVUTA WATEJA.
5.       OMBEA NYOTA YAKO.
6.       OMBEA BIDHAA ZAKO.
7.       OMBEA MTAJI WAKO.
8.       OMBEA JINA LAKO.
9.       UPAKO WA KUKUBALIKA.
10.   AINA ZA PESA.
11.   IMANI YA KUTAJIRIKA.
12.   IMANI YA MATENDO.
13.   SIRI ZA KUFANIKIWA SANA KWENYE BIASHARA.
14.   VIKWAZO VYA MAFANIKIO KWENYE BIASHARA.


Mtu wa Mungu Nabii BG MALISAMwandishi wa kitanu hiki ndiye mwanzilishi wa KANISA LA UKOMBOZI MINISTRIES FOR ALL NATIONS lenye makao yake makuu Mwanza, Tanzania. Ni kanisa linalokua kwa kasi, kiasi kwamba kwa miaka michache tu limefikia maelfu ya watu.
Pia ni mhubiri anayerusha kipindi cha “Televion kinachoangaliwa na mamilioni ya watu kila wiki maarufu kwa jina la “SAA YA UKOMBOZI”
KITABU HIKI NA VINGINE VIGI VILIVYOANDIKWA NA MTU WA MUNGU NABII BG MALISA WAWEZA KUVIPATA KATIKA MAENEO YAFUATAYO”
-          ARUSHA – Mama Mchungaji simu………………………………………… 0766 920393
-          MOSHI – Mr Gerald Yesse Msuya, simu………………………………… 0754504272
-          DAR – Dada Ester  simu…………………………………….. 0654272024/0757115051
-          DAR – Mr Patrick simu …………………………………………………………….0752 468879
-          MBEYA – Mama Mchungaji  ……………………………………………………0764 097899
-          SINDIDA – Dada Viviani        ……………………………………………………0764 421304
-          SINDIDA  - Dada Happy   ……………………………………………………… 0768 154372
-          MWANZA – Dada Joyce ……………………………………………………..0763 710426/0717 505014
-          MWANZA – Mwl Theodora ……………………………………………………0755 008642
-          KAHAMA – Mama Dickson ……………………………………………………..0766 466085
-          SENGEREMA – Mchungaji Imani ……………………………………………..0753964384

Kama uko mbali na mikoa hii, wasiliana nasi kwa namba 0763 710426/0717 505014/0755008642/0737210778/ 0784475576

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...