Guardian linasema - At last Government, Ewura act
Give oil dealers a day to normalise supply
Four firms named as masterminds of crisis
TPDC affiliate licensed to import, sell oil
Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) yesterday issued a 24-hour compliance order to four giant oil marketing companies masterminding the current fuel crisis, which has almost ground transport operations.
The move came as Members of Parliament debated the crisis under a certificate of urgency, calling for emergency action to remedy the country from the debilitating crisis, largely pioneered by what was described as a syndicate of big oil marketing companies operating in Tanzania.
“They have to resume services immediately. The compliance order must be respected by these companies, otherwise they will face the wrath of the law,” Ewura Director General, Haruna Masebu told a news conference.
Daily News lasema -
THE Government through Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has slapped compliance orders to four major oil companies that have been identified as engineers of the ongoing fuel crisis to resume operations immediately.
Delivering the government's statement in the National Assembly on Tuesday, the Minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, named the operators as BP Tanzania, Engen Petroleum Tanzania, Oil Com and Camel Oil.
Th Citizen linauliza - MPs: Where is the govt?
Parliament took the government to task yesterday over its handling of the fuel crisis, with MPs warning that the country could be grounded. This could spark off public riot, they said.
Energy and Minerals minister William Ngeleja told the House later that the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) director general had signed a compliance order requiring retailers to implement the authority’s directives on prices unconditionally. The order is equivalent to a High Court decree.
Nipashe linapasha - Mafuta yaitesa serikali
Wafanyabiashara ya mafuta wamechafua hali ya hewa nchini na sasa Bunge nalo limeibuka na kuiburuza serikali sawasawa kwa kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara hao ambao wameleta mtafaruku mkubwa kwa kutibua mfumo wa usambazaji na uuzaji wa nishati ya mafuta nchini.
Kutokana na hali hiyo, wabunge jana bila kujali tofauti zao za vyama, waliibana serikali na kutaka wafanyabiashara ya mafuta nchini kurejesha huduma hizo mara moja, vinginevyo wanyang’anywe mara moja leseni endapo watakaidi agizo hilo.Habari Leo lajinadi - Wauza mafuta wabanwa, watakiwa kujieleza
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetaka kampuni nne kubwa za kuuza mafuta kuanza usambazaji na uuzaji wa mafuta hayo mara moja na kuzipa saa 24 kujieleza kwa nini zisichukuliwe hatua kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Hayo yalibainishwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu, alipozungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Dar es Salaam na kutaja kampuni hizo kuwa ni Engen Petroleum Tanzania Limited, BP Tanzania Limited, Oil Com na CamelMwananchi limoteka na - Wauza mafuta wapigwa kitanzi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetoa amri kwa kampuni nne kubwa zinazosambaza mafuta kurejesha huduma hiyo mara moja huku ikizitaka kujieleza, kwa nini zisichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kushindwa kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa leseni zao za biashara.
Kampuni hizo ni pamoja na BP ambayo Serikali inamiliki nusu ya hisa pamoja na Engen, Oil Com na Camel. Mbali ya maagizo hayo mawili, Ewura pia imezitaka kampuni hizo kuhakikisha kwamba zinaendelea kutoa huduma hiyo bila kubughudhi mfumo wa usambazaji mafuta nchini.Tanzania Daima laibuka na - Wauza mafuta wazidi kuivimbia serikali
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, ameingilia kati mgogoro wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na wafanyabiashara wa mafuta akiyataka makampuni hayo kutii sheria za nchi badala ya kulumbana na serikali.
Kauli ya waziri huyo imekuja wakati ambao wauzaji wengi wa mafuta wakikaidi kutoa huduma hiyo kwa visingizio mbalimbali ikiwemo kwisha kwa bidhaa huku wengine wakidai kuharibika kwa vitendea kazi.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu jana kuhusu suala la mafuta ambalo linashughulikiwa na Ewura, Ngeleja alisema hatua ya makampuni hayo kukaidi maagizo waliyopewa hivyo kusababisha mjadala mkubwa nchini haitoi picha nzuri kwa wananchi zaidi ya usumbufu kwao.
"Nayataka makampuni ya mafuta kutii sheria za nchi wakati yakiendelea na biashara zao kuliko kuitunishia misuli serikali"hata hivyo nayapongeza na kuyashukuru makampuni yaliyoendelea kutii kauli ya Ewura kwa kuuza mafuta kwa bei iliyopangwa na serikali na mambo mengine," alisema Ngeleja.Uhuru wanasema - Sakata la mafuta Serikali yawaka
SERIKALI imetoa saa 24 kuanzia jana kwa kampuni za mafuta nchini ambazo zimeficha mafuta kwenye maghala yao, kuyatoa na kuyauza kwa wateja. Pia, imeyataka kutoa maelezo ni kwanini yasichukuliwe hatua ikiwemo kufutiwa leseni za biashara kwa uamuzi wa kugoma.
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, alisema bungeni jana kuwa tayari hatua kadhaa zimechukuliwa ikiwemo kutoa leseni kwa kampuni tanzu ya TPDC ya COPEC, ambayo inamilikiwa na serikali.Clouds FM - Serikali yatoa kauli kutatua tatizo la mafuta nchini
Baada ya Umoja wa Wafanyabiashara ya Mafuta Nchini (TAOMAC) kugoma kuuza mafuta kupinga kitendo cha Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kushusha bei serikali imeipa leseni kampuni tanzu ya Shirika la Petroli Tanzania (TPDC) ,COPEC kuanza kufanya biashara ya mafuta
Nimejaribu kutafuta kilichopostiwa katika electronic media zetu, lakini sijafanikiwa, nyingine nimekuta taarifa ambazo kwakweli sijui ni za lini
Cheki hizi -
TBC
ITV
STAR TV
No comments:
Post a Comment