Tafakari na Mjengwa
- Hiyo ni
shule ya msingi katika Tanzania yetu ya leo.
- Huyo
ni mwanafunzi anayeingia darasani na
mbele ni walimu wa shule wanaoingia darasani kufundisha.
- Hao ni
wanafunzi darasani
- Na shule
ina tundu moja la choo.
Ni miaka 50
baada ya Uhuru wetu. Tafakari.
No comments:
Post a Comment