
Leo hi Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi kutaja wafanyabiashara na viongozi watano wenye asili ya kiasia kuwa ndio mafisadi papa na kumsifia Rais Jakaya Kikwete, ni ubaguzi na kujipendekeza kwa Rais.
Mwanasiasa huyo alisema kauli hiyo ya Mengi, haisadii katika vita dhidi ya rushwa, badala yake anacheza karata ya ubaguzi wa rangi wakati tatizo la ufisadi limetokana na mfumo wa kutokuwa wawazi kwenye uamuzi.
pata zaidi
No comments:
Post a Comment