JK Live
Hizi ni baadhi ya nukuu muhimu
Richmond na Kagoda
“Kwenye kupambana na Ufisadi na rushwa sina urafiki wala ndugu”
Ni kweli
Ni kweli Kuna matatizo katika kuwachukulia hatua maafisa waliohusika na sakata zima hili kikao cha bunge cha Novemba kitakuwa na majibu ya hili”
Nyalaka za dini
“Zimetustusha na kutusikitisha
Mafisadi Papa
Mafisadi wakubwa wana maarifa makubwa pia ya kujificha, hataivyo tunafanya juhudi kubwa kupamba nao”
Uhasama wa Wabunge wa CCM
“Kumekuwa na chuki mza wazi kati ya wabunge wa CCM na serikali
Kuacha kinywaji chako kwa ofu kuwa utawekewa kitu kibaya”
Tumeunda timu ya wazee watatu Mzee Mwinyi, Mkapa na Kinana ili kuangalia
Mafuta Zenji
Hatuna sababu ya kulumbana juu ya hili, linajadilika na laweza kuondolewa
Kesi ya Zombe
Sheria imechukiua mkondo wake, lakini sisi
Mikoa ya pembezoni
Kwangu hakuna mikoa ya pembezoni, juhudi za makusudi zinafanywa kuwaunganisha mikoa yote kwa lami, hasa Kigoma, Kagera na Lindi, wamechelewa lakini si kwamba tumewatupa, hakuna tuliyempuuza”
Uhuru wa Vyomba vya habari
“Mfumo wenye uhuru wa kusema, watu kutoa maoni
Migomo
“Migomo ni haki ya wafanyakazi, hainisumbui”
Kuwaziba midomo wabunge wa CCM
“Hakuna jitihada zozote za kuwaziba wabunge midomo, tunataka waseme, waikoseo serikali
Shule za kata
“Ni kweli kuna tatizo la utekelzaji wake lakini tunafanya jitihada za dhati kuondoa
Maisha Bora kwa kila Mtanzania
“Kwetu hii ni mambo mawili, kwanza huduma za kijamii na kiuchumi na pili kuongezeka kwa kipato, tunajitahidi katika huduma za jamii kama afya, elimu, maji na miundombinu na katika kuongeza kipato tatizo kubwa ni mfumuko wa bei, hili ni tatizo kubwa sana, na kiini chake ni bei za vyakula, tunapamba nalo hili tulikuwa na SDP na sasa tumeanzisah Kilimo Kwanza lengo likiwa kujaribu kupambana na hili.”
Safari za Nje.
“Nasafiri kwa manufaa ya Taifa, Misaada yote tuliyopata inatikana na safari hizi, ukijifungia ndani utapata wapi haya? Zinafaida nyingi
Muulize Rais
“Mfumo huu ni kitu kipya na kimekuwa na manufaa
HAYA NI BAADHI YA YALE NILIYOWEZA KUYANASA NA KUNUKU.
1 comment:
Mmmmh!
Post a Comment