Leo nimetembelea Soweto na kupata bahati ya kufika katika nyumba aliyokuwa akiishi Mzee Madiba ambayo sasa imegeuzwa kuwa kivutio cha utalii, Nyumba hii Mzee Mandela aliishi na familia yake kuanzia Mwaka 1949 mpaka miaka ya tisini alipoitoa ili iwe makumbusho.
Ukiwa Jo' burg si sehemu ya kukosa kwenda.
1 comment:
Kaka naomba unisaidie kuitangaza Blog yangu hii www.francisgodwin.blogspot.com
Post a Comment