Hatimaye yale madai ya ubadhilifu ktk libenk la BOT wadhiirika na Uongozi wabadilishwa na amri yatolewa kwa wale wote waliohusika kuchukuliwa hatua za kisheria
aliyekuwa Naibu Gavana Prof Benno Ndullu kateuliwa kuwa Gavana na Dr Enos Bukuku aliyekuwa PS Miundombinu kawa naibu gavana
Fagio la JK ndo laanza kutenda kazi 2008?
more 2 come.
wakati hayo yakijili ex gavana Daud Balali bado yuko nje ya nchi kimatibabu.
No comments:
Post a Comment