
Kwa upande wa mkoa wa TABORA Sikukuu haikuwa njema kwao baada ya watoto wapatao 20 kufa kwa kukosa hewa ktk ukumbi wa disco mkoani humo,
Rais JK pamoja na kutoa salamu za rambirambi pia ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike kuhusiana na tukio hilo kubwa na la kusikitisha.
1 comment:
very nice! hahahahaha
Post a Comment