July 16, 2008

PICHA INA MWANGWI MKUBWA !!

Wanasema picha yaongea maneno elfu moja, lakini kwa Picha hii nazani yaongea maneno milion au zaidi yaani kuliko ambavyo mtu angeweza kueleza, yasikitisha sana kwamba katikati ya tambo na mbwembwe nyingi za wanasiasa wetu, katikati ya RICHMOND NA EPA, katikati ya VIJISENT na MINALA YA BOT, pana wabongo kama hawa lukuki ambao wanaogelea ktk lindi la umasikini na maradhi, YAWEZEKA MTOTO HUYU AMBAYE YAONESHA YU CHEKECHEA ANAJUKUMU LA KUMTUNZA NA KUMWANGALIA MAMA YAKE AMBAYE YU HOI KITANDANI, SIJUI HATA SENT YA KULA WAPI ANAIPATA MTOTO HUYU, HUKU NI KUZEEKA UNGALI MTOTO. Asante mdau Yahya Charahani kwa picha hii. naomba utupe fulu diteili na anwani za familia hii kuna wadau wameonyesha nia ya kuisaidia.
Posted by Picasa

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...