
Wanafani wanazidi kuongezeka, Jaji mkuu wa Zanzibar na Mkewe wakipata picha ya ukumbusho na JK.
Tekelinalotujia limeleta mabadiliko mengi ktk ufanyaji kazi, kuingia kwa digital camera kumeraishisha watu kupata kumbukumbu pasi kumuhitaji mpiga picha mtaalamu, kila mtu aweza kwenda ktk shughuri na kakamera kadogo mfukoni na kuchukua kumbukumbu azitakazo.
Je hii ya maanisha nini kwa wanafani? je huu ni mwisho wa wapiga picha wa mtaani na hata wa habari? naomba michango yenu na mitazamo juu ya fani hii na mustakabali wake.
No comments:
Post a Comment