January 12, 2008

Wasomi TZ walaani kuiba kura Kenya..
Kwa kifupi hayo ndo yalojiri ktk maandamano ya leo yaliyoandaliwa na umoja wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) kulaani yaliyojiri nchini kenya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.
Dr Rwaitama aliwakilisha na kutoa tamko la UDASA pamoja na hisia zake mwenyewe kama mwana panaafricanist,
ambapo tamko la TAHLISO lilitolewa na Katibu wake Mtatiro.
Hiki ni kizazi kipya au damu changa ambayo haiko tayari kukaa kimya kinapoisi kuwa kuna dhulma pahala fulani asa ktk Africa mashariki, tunao pia damu changa kabisa kama salome (6) ambaye naye hayuko nyuma.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...