Waziri Mkuu wa Ireland Bertie amojionea hali halisi ktk hospital ya mwananyamala jinsi wagonjwa wanavyolazimika kulala watatu watatu au mzungu wa pili.
hii ndo hali halisi ya hospital zetu zote za hapa Dar.........inatisha si mchezo, kuna usalama kweli????
No comments:
Post a Comment