January 6, 2008

Mwandishi amwagiwa ACID Mhariri wa Mwanahalisi Saed Kubenea pamoja na mwandishi na mwanaharakati wa siku nyingi Ndimara Tegambwage jana walivamiwa na watu wasiojulikana ofisini kwao Kinondoni na kukatwa mapanga pamoja na bwana Kubenea kumwagiwa tindikali au acid machoni, Kubenea amekuwa akipokea sms za vitisho toka Juni mwaka jana kabla ya kuchomewa gari yake na watu hao mwezi mmoja baadaye na kudai kuwa uwa ni mwanzo tu na kuwa hasa kinachotakiwa ni uhai wake tu. Mwanahalisi limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za ufisadi hapa nchini sijui kama vitisho na matukio hayo yahusiana na habari hizo ambazo limekuwa likiandika. Lets wait and see.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...