January 25, 2008

Driver wa Waziri yu Wapi?
Majaaliwa ya Driver wa Naibu Waziri Usalama wa Raia (POLICE) Tumaini Mbaga bado kujulikana karibia siku sita sasa toka kutoweka na gari katika mazingira ya kutatanisha huku Kimara Temboni na hatimaye Gari kupatikana likiwa limetelekezwa CCM Tabata,
Familia ya Driver huyo, baba wa watoto wenne watatu kike na kiume mmoja imebaki kuomba Mungu usiku na mchana ili apatikane kama si mzima basi hata mwili wake tu uonekane, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwa familia hii bila kujua nini kimeteokea kwa Mkuu wa familia.
Kwani kwa kupatikana kwa gari peke yake na ambalo yasemekana lilitelekezwa pale CCM Tabata siku moja tu baada ya kutoweka pasipo julikana wapi dereva alipo kiaacha uwezekano wa kumpata dereva huyo akiwa hai kuwa mdogo sana ni Muujiza wa MWENYEZI MUNGU TU unaoweza kufanya vinginevyo.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...