Yanga mambo si shwari tena...Hivi ni lini tutafika wakati ambao vilabu vyetu vitaondokana na migogoro hii na kuwaza kuendeleza soka? ni lini nasi tutuondokana na futiboli fitna hii inayoua soka nchini?
lakini ni nani hasa wanafaidika na hii migogoro isokwisha? Jamani naomba nisaidiwe kwa hili kwani la nitatiza hata kukatisha tamaa kwa mtu mwenye akili zake kuwa mmoja wa shabiki wa timu hizi. hivi uko majuu ufadhili ukoje? (kama kuna ufadhili), je tajiri kumiliki timu kukoje hasa maana naona kizunguzungu tu hapa. haaaah
No comments:
Post a Comment