September 14, 2006

Bongo Pix Blog 1st Post

Picha hii ilipigwa siku moja kabla kifo cha Pope John wa Pili. Nachukua nafasi kuwakaribisha wote ktk blog hii ya Bongo pix. Kama jina linavyojieleza ni ya picha za wabongo ambazo zimepigwa kiubunifu na utaalmu.Naomba ushirikiano wa kila mmoja wenu, mliotanguli ktk blog na watoa maoni pamwe na wasomaji. una huhuru kutoa mawazo yako kwa picha yoyote kwa lugha nzuri na ustaarabu na si lugha chafu. kwa wanaojua kusoma picha karibuni mshauri, kukosoa, na kuelimisha picha kama imefanikiwa au haikufanikiwa kufikisha ujumbe tarajiwa.

No comments:

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...