November 5, 2011

"Naomba Shillingi ishuke zaidi ifikie Ths 5,000 kwa dola"


Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu mtazamo hasi (NEGATIVE PERCEPTION) wa baadhi ya watu, tena si wachache, ni wengi kweli pale mtu anapowaambia kuhusu Biashara ya ya Masoko ya Mtandao ama Network Marketing, au Multi LevelMarketing, Referral Business, Business of 21st Century, DirectSelling, Recession Proof Business, Nk.


Katika kufanya utafiti nimekutana na watu maarufu duniani wakiwamo marais, wasomi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa duniani ambao wameamua ama kuifanya ama kuipigia debe kwa nguvu zote kwa ni mkombozi pekee anayeweza kumtoa mtu katika maisha ya chini kabisa na hatimaye kumwezesha naye kumiliki si pesa za kutosha bali nyumba na usafiri wa maana, (angalia mfano wa Bw na Bi Kayombo)  katika karne hii ya 21 ama Zama za habari (Information Age).


Nimekuwa nikijiuliza watu hawa wengi wenye mtazamo hasi wanajua nini ambacho mtu kamaDonald Trump na Robert Kiyosaki hawajui? ama wanapesa nyingi sana kuliko Warren Buffet na Donald Trump? Pengine wana nafasi ama mamlaka kuubwa kuliko aliyowai kuwa nayo Bill Clinton? Labda ni wasomi sana au wachumi kuliko Paul Zane Pilzer na Dr Charles King? au maarufu sana kuliko Robert Kiyosaki?


Pengine wananafasi katika jamii yetu kuliko alizowai kuwa nazo mtu kama Juma Kapuya, au Mbunge wa Dodoma Mjini, ama alizonazo Mch Getrude Rwakatare, lakini ikiwa huna pesa kuliko Warren Buffet au Donald Trump, fikiri mara mbili juu ya fursa hii, ama hunayo au huna elimu kama Prof Paul ZanePilzer na Dr Charles King, tafakali, au hunazo au huna nyadhifa kama alizowahi kuwa nazo Bill Clinton, chukua hatua.


Afrika Mashariki kuna watu wasiozidi laki moja walioamua kufanya fursa hii, hawa ndio wanaofurahia kila siku inapotangazwa kuwa shilingi imeshuka thamani, je ni kwanini wanafurahia kushuka kwa shilingi?  Jana nilikuwa naongea na dada Mmoja anaitwa Erika, yuko kwenye NWM kwa muda wa mwaka Mmoja na nusu sasa anasema, nami nanukuu, “Naomba shilingi ishuke kila siku, ifikie hata 5,000 kwa dola moja”


Kwanini anasema hivi? Network Marketers dunia nzima wanalipwa pesa zao kwa Dola za marekani, yeye mwezi uliopita alilipwa dola 6.800 na ushee hivyo kama thamani ya shilingi ilikuwa sawa na 1,700 inamaana atakuwa na zaidi ya Tsh 11.5 Millioni, na mwezi huu anatarajia kupata zaidi ya dola 7,000, je si anasababu ya kuomba shilingi izidi kushuka?  kwa nini? dola 6,800 x 5,000 (kama anavyoomba) = Milioni 34!  kwanini Wanamtandao wasiendelee kuomba shilingi ishuke?  
Ni kazi gani ya halali inayoweza kukutoa hapa....

...ikakufikisha hapa kwa muda husiozidi miaka mitatu??


Katika picha ni Bwana na Bibi Kayombo, walikuwa watu wa hali ya chini, angalia maisha yaokabla na baada ya miaka miwili ndani ya Network Marketing, jiulize hawa wamewezaje na wewe washindwaje? tuna bahati sana kuwa wakazi wa zama hizi za habari, tumerahisishiwa vitu vingi sana ikiwamo namna ya kutafuta ukweli wa jambo kwa kupitia ICT, tujaribu kutafuta ukweli wa jambo lolote tukutanalo badala ya kulidharau na kupuuza tu. No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...