June 3, 2010

Crazy Dar

Kama kuna kitu kinakera kwa sasa hapa jijini Bongo basi ni foleni, yaani sasa hivi safari ya dakika ishirini kwa gari yakughalimu mpaka masaa manne na wakati mwingine ni ujinga wa baadhi ya watu,
utakuta kwenye makutano (yawe na taa au la) badala ya busara kutumika kupishana watu wazima kila mtu anajifanya ana haraka matokeo wote mwakutana kati na haraka zoote zaishia hapo.
wakti mwingine ni migari mibovu waweza toka mbezi mpaka Posta njia nzima mwakutana na migari imeharibika na kuwachwa papohapo ama mwakuta mafundi wamefungua boneti wameacha hapo.
Ikinyesha mvua ndo kabisa hakufai hata kidogo yaani kwa kweli kukaa jijjini kwa sasa ni karaha tupu. kifupi hapafai tena. iko siku magari hayatotembea kabisa hapa mujini. hiyo siku yaja na wala haiko mbali.
CIAO.

No comments:

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...