Tarehe 16 March miaka 76 iliyopita katika familia ya mzee Mwabuki alizaliwa mtoto wa kiume na kupewa jina la Benedict Ishengoma. Watoto wako Flora, Beatrice, Bernard, Brighton, Bonaventura, Steven, Emmanuel, Herieth, Edina, Annagrace na Ancilla-domina wanakutakia siku njema ya kuzaliwa kwako na Mungu akujalie afya njema pia.
Hongera sana Baba yetu kwa siku ya kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment