
Muvi iloanza ka mzaha vile sasa yazidi kuchukua sura mpya kila uchao na kuingiza watu na taasisi nyingine zaidi na nyeti ikiwamo Jeshi letu JWTZ baada ya jana Jery kuonesha kwa stakabadhi ya pingu alonunua duka la jeshi la Mzinga.
Fuatilia
hapa kwa undani zaidi pamoja na kauli ya Mtoto wa Mkulima.
1 comment:
Nampa pole bro. jerry,
Sijui sakata ni visa vya kuzushiana au la. Nijualo ni kwamba Jerry Muro anajitahidi sana kuripoti uvundo na kwa nchi yetu kubambikiziana kesi ni kawaida hasa kama inaonekana unasema ukweli.
Pole sana Bro. Jerry Utayapita haya magumu.
Post a Comment