September 4, 2013

OPERESHENI ONDOSHA VITAMBI KWA KINA MAMA!!!!


Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama.
Wamama wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana kama ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo kama wanaume, hii si hali ya kawaida, wengi wao hawajui kwanini wanakuwa na viriba tumbo hivyo na mbaya zaidi hawajui wafanyenini kuondokana na vitambi hivyo.  Vitambi hivyo vina athari nyingi sana, za kiafya na kimaumbile.

 Kiafya.
Kuendelea kuruhusu vitambi hivyo kukua pasipo kuchukua hatua sitahiki upelekea kupata matatizo mengi ya kiafya yakiwemo:-


·       Mgandamano wa taka na sumu tumboni au Corprostasis
·       Kukosa choo au Constipation.
·       Kiharusi au Stroke
·       Uzito uliozidi au Obesity.
·       Matatizo ya moyo. Cardiovascular diseases
·       Shinikizo la juu la damu au High blood pleasure
·       Kisukari au Diabetes
·       Saratani. Au cancer
·       Kukakamaa kwa mishipa au arterioscelosis. Nk


Haya ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kumshambulia mtu iwapo hatachukua hatua kuakikisha anakuwa na mwili wenye afya kuwa kutorusu viriba tumbo. Hii ni kwa wanawake na wanaume pia, japo wengi wa wanaume wana fikra potofu kuwa kitambi ni afya au mafanikio Fulani, hiyo si kweli, bali ni matatizo.
 Kimuonekano.
Mwanamke anapokuwa na kitambi uwa anapoteza muonekano, avaapo nguo hapendezi kwa sababu tumbo ndio linatangulia, hii ni tofauti sana na tumbo la ujauzito, kwani lile uwa na kwa muda tu na uwa lina mavazi yake maalumu pia ambayo uwafanya baadhi yao kuonekana wanapendeza wanapokuwa atika hali hiyo.


Kiriba tumbo upoteza kabisa shape ama figure ya mtoto wa kike, matokeo yake ni kuwa hakuna nguo atakayovaa ikampendeza, hii imepelekea kinamama wengi kulazimika kuvaa madela tu kama wajawazito kwa kuwa hakuna nguo inayompendeza.


KAMPENI ONDOSHA KITAMBI. Kampeni hii imekuja maalumu kwa ajili yako wewe mama ambaye unalazimika kuvaa madela muda wote kama mjamzito wakati huna mimba, weye ambaye upendi kuwa na kitambi na tena wakichukia lakini hujui ufanye nini,  weye ambaye watamani kuwa na figure ipendezayo ambayo yavutia wengi.

 Unahitaji kufata hatua nne muhimu za program hii ambazo ni rahisi sana kufikia kuwa na mwili au figure uipendayo na mwenye afya pia, kwani kwa kufata hatua hizo nne, utaondoa kiriba tumbo na kujikinga na maradhi yoote yaliyotajwa hapo juu na mengine mengi.   Programu hii ya kuondosha kitambi ukiifuata sawasawa inakupa majibu ndani ya mwezi mmoja, ni salama na hakika.


 Hatua hizo ni:-

1.  Kuondoa sumu mwilini.
Hii ni hatua muhimu sana kuelekea kwenye safari yako ya kuondosha kitambi. Ina safisha mfumo mzima wa mmengenyo wa chakula na kuondoa mgandamano wa taka tumboni. Kwa mfumo wetu wa chakula unapokuwa umefunga miili yetu hushindwa kufyonza virutubisho muhimu na kufanya sumu na taka kurundikana mwilini.


2.  Kuchoma mafuta na kungarisha mwili.
Hii ni muhimu kwani ingawa miili yetu yahitaji mafuta kwa kutunza joto, mafuta hayo yanapozidi ni hatari na upelekea kuhatarisha mahisha, utagundua kuwa mafuta yachomwapo metabolism ya mwili nayo inaongezeka.


3.  Kusawazisha na kusafisha.
Hii usawazisha kiwango cha asidi na alkali miilini mwetu itokanayo na kula vyakula vyenye asidi nyingi na kupelekea kutokuwa na mlo kamili, pia yasafisha mfumo mzima wa damu na kongeza kiwango cha usambazi wa hewa ya oksijeni mwilini na zaidi ya yote kuuongezea mwili kinga ya kupambana na maradhi yoote.


4.  Kurejesha – rejuvenation
Program hii yamalizia na kurejeza, kuuisha upya chembe hai za damu kwa kuupa mwili viondoa sumu,(anti oxidants) hii inafaida kubwa sana kwa mfumo wa damu na moyo pia, huongeza protein muhimu na hivyo kukufanya usizeeke upesi. (Anti aging properties)    

 "MAJIBU NDANI YAMWEZI MMOJA"Je wataka kuondosha kiriba tumbo??  call now +255 716 927070, +255 784 475576. No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...