March 10, 2009

Kumbe Mh Kandoro alikuwa mgonjwa??

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimjulia khali Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Abbas Kandoro ambaye amerejea nchini hivi karibuni akitokea India kwa matibabu, Ni majuzi tu tulikuwa twaulizana na wadau wenzangu ktk sherehe za wanawake duniani kuwa Mh RC wetu yu wapi maana umepita muda kitambo pasi kumwona, kumbe alikuwa matibabu India. Pole sana Mh Kandoro.

1 comment:

Faustine said...

Hata nami nilikuwa najiuliza swali hilo. Kuna matukio mengi yamekuwa yakitokea katika Jiji la Dar na nilikuwa nashangaa kuona Mkuu wa Kaya yuko kimya.
Namtakia apate nafuu mapema ili arudi kushughulikia masuala ya wananchi.
Mdau

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...