Kuna msemo usemao kuwa ukistaajabu ya musa utaona ya filauni, nimeamini, katika post moja hapo chini "sababu hii pekee au zaidi?" nilihoji sababu za kina dada kutopenda kuvaa kanguo kadogo na kupenda ama kufanya makusudi ili mtu mwingine ajue kuwa hanako kanguo kadogo,
Hapo juu hiyo picha ni halisi imefanyiwa ufundi ktk photoshop ionekane ya kuchora, mdada anaoneka ni mcheza shoo katika ukumbu fulani na bila shaka mbali na watazamaji lakini alijua kuwa kuna wapiga picha, hivyo pamoja na kuvaa nguo inayoonekana ni ndefu lakini alihakikisha havai kanguo kadogo na watu wengine wapate salam, kaanika utupu wake hadharani, hana chembe ya aibu wala woga.
Dada zetu mwatupeleka wapi, ni nini mwataka hasa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
It has been a while now that my life had taken on a sense of expectation. It has been almost 3 months since I met Russell Simmons at a char...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
Gadhafi na Obama With reported pockets of fighting remaining in Tripoli on Wednesday, the whereabouts of Lib...
-
The government of Uganda is planning to pay a compensation fee to the government of Tanzania for the help offered Uganda in the 1979 liber...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wakurugenzi watendaji wa mitandao ya simu za mikononi za Zain, Zantel na Tigo. kutoka kushoto ni bwana N...
-
Edmark International founder, Chief Executive Officer and Chairman. Edmark Tanzania welcomes all entrepreneurs, business people a...
No comments:
Post a Comment