March 31, 2008

SALAM TOKA KWA MDAU WA MSOMA

MDAU WA MUSOMA ANAWAPA HI WADAU WOTE WA BONGO PIXS

TAMKO LA BUTIAMA

TAMKO LA CCM NEC LAKABIDHIWA KWA RAIS JK NA MSAIDIZI WAKE JANUARY MAKAMBA HUKU KATIBU MKUU YUSUPH MAKAMBA AKIANGALIA NA KUSOMWA NA MAKAMU MWENYEKITI PIUS MSEKWA JANA USIKU.

SHINGO (NEC) BUTIAMA

KIKAO cha SHINGO i mean NEC cha CCM kimeisha kwa Kutoa tamko la butiama jana usiku, yaonesha jinsi kilivyokuwa moto kiasi cha ajenda moja ya muafaka kuchukua zaidi ya masaa nane si mchezo,

March 28, 2008

THE DOT COMs au .com

wana wa waasisi wa Bongo Amani KARUME, Zainabu KAWAWA na Makongoro NYERERE

March 27, 2008

SAFARI BUTIAMA

MAMBO YOTE NI BUTIAMA SASA ANGALIA UKURASA HUU KWA TAARIFA ZAIDI

March 25, 2008

GLOBAL PUBLISHER YATIMIZA MIAKA 10

JUU
Waziri wa Nishati na Madini William Ngereja (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers Eric Shigongo (katikati), na mkewe wa Mkurugenzi Global Publishers Bi Vene Ephraim (kulia)
CHINI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Dotnata Catering and Decoration Services Illuminatha Alphonce (Dotnata akiwa amepozi na msanii Afsa Kazinja katika sherehe hiyo.
HONGERA SANA SHIGONGO

NENO LA MUNGU

Worry About Work In 2 Corinthians 11:28, the apostle Paul says something very interesting,Besides the other things, what comes upon me daily: my deep concern for all the churches. You may be wondering, "Bayless, what does this have to do with my life?" Let me show you.The phrase "deep concern" literally means anxiety and worry. And that phrase "to come upon" in the original language literally means "it conspires against me in order to overthrow me."The apostle Paul's job was to oversee the churches that God had used him to establish, and in this verse he is confessing, "I daily have to battle with worry over these churches. How are they doing? Are they being misled by false prophets? Are they staying true to good doctrine?"He was dealing with worry about those churches. Every day he grappled with that worry, and he had to throw it down. It is easy for all of us to worry about our job. Some people, even though they are at home, never leave their job. They carry the burden around with them twenty-four hours a day, seven days a week. They are always worrying about the job, even when they are home with their family. "How are things going at work? I wonder what they're saying. I wonder about the competition. What about sales? What about my job security? What's going to happen tomorrow?"Consequently, when they get home from work, they are carrying this burden of work around with them, and they are robbing their family. Their own spiritual life is robbed, many times almost to the point of bankruptcy. Do not let your family be robbed. Do not let your own personal and spiritual life be robbed because you carry the care of your job around with you. Instead, give it to God.

March 22, 2008

TAZARA AJARINI

TRENI LA MIZIGO LA TAZARA LILIPATA AJARI ENEO LA KIPUNGUNI DAR.

KCI, JOJO NDANI YA BONGO

Wanamuziki KCI na JOJO wametua jana ndani ya Bongo tayari kwa tamasha la Pasaka.

GARI YAPATIKANA BAADA YA MIAKA 38

A Los Angeles man is getting his stolen Mustang back — 38 years after it was stolen. The vehicle has an extra 300,000 miles and a different paint job, but Eugene Brakke's 1965 Mustang is evidently running just fine.

March 21, 2008

KILAINI APIGA MSUMARI WA MOTO KWA MAFISADI

  • ASEMA SI WARUDISHE TU BALI NA RIBA KAMA ZAKAYO. Leo ni siku ambayo kila mtu aaminiye katika Bwana Wetu Yesu Kristo yuko katika maombolezo kwa sababu tunakumbuka kifo chake. Katika kukumbuka kifo chake tunakumbuka dhambi zetu ambazo alikufa ili atukomboe nazo. Nabii Isaia alimwagua kama tulivyosoma katika somo la kwanza akisema kwamba ‘kama mwanakondoo achukuliwaye machinjioni, hana tena sura ya kupendeza na wala hatamaniki, anateswa lakini hafungui mdomo wake kulalamika. Anadharauliwa na kukataliwa na watu; anaonewa na kuhukumiwa lakini ananyenyekea; anapigwa kwa sababu ya makosa ya watu.’ Maneno hayo ya Nabii Isaiya yalithibitika katika Yesu Kristu. Kweli kwa ajili yetu alitimiza aliyoyahubiri kwamba hakuna aliye na upendo kuliko la yule atoaye uhai wake wa rafiki zake’ Leo somo kuu lililosomwa ni lile la mateso ya Bwana Wetu Yesu Kristu kama yalivyoandikwa na mtakatifu Yohane. Simulizi linasikitisha sana kwa sababu kwa upande mmoja linaonyesha mateso makubwa ya Bwana wetu Yesu Kristu na kwa upande mwingine lionaonyesha woga wa kutea ukweli, usaliti, ugeugeu wa binadamu na uchoyo. Bwana wetu Yesu Kristu alikufa ili tuepukane na haya yote, ili tugeuke na kuwa watu wapya, ili tuwe na uzima na tuwe nao tele. Alishinda mauti ili na sisi tusiwe tena na woga katika kutenda mema. Aliteswa sana kimwili, kihadhi, alidhalilishwa, alitukanwa, alipigwa na mwishowe kusulubiwa msalabani na kutundikwa akiwa mtupu bila nguo zake. Je kama yeye amefanya hayo yote kwa ajili yangu mimi niogope nini tena katika kutetea na kutenda mema. Tuseme kama mtakatifu Paulo baada ya kumpokea Mwokozi na kumfuata “ Bwana yuko pamoja nami sitaogopa kitu iwe njaa, mateso au kifo” Kifo chake Bwana Wetu Yesu Kristu kilipokelewa tofauti na watu mbali mbali wakati wake na katika historia; na je wewe umekipokeaje? Unafuata mfano gani kati ya wale waliojikuta naye katika wakati wake. Mtakatifu Petro alimpemda Yesu sana na kwa kweli alimpigania alivyoelewa yeye lakini alipokemewa akafa moyo hakujua upendo wa Yesu ukoje. Hata hivyo alimfuata mpaka kwa kasisi mkuu lakini akaishia kumkana kwa woga. Kwa sababu alimpenda Yesu kwa dhati aliweza kutubu na baadaye kuwa mkuu wa kanisa. Nasi tunaanguka lakini mradi tunampenda tusikate tamaa tuinuke na kufuata Mungu. Yohana mpendwa wa Yesu anafuata bila makeke au kelele mpaka saa ya mwisho na kwa niaba yetu anmuaga Bwana na kupewa mama yake. Mitume wengine wanakimbia na kujificha lakini yalipoisha wakakusanyana na kupeana moyo na kuhimizana hadi Yesu alipowatokea tena na kuwapa nguvu mpya. Mbaya wa siku ni Yuda ambaye kwa ajili ya vipande 30 vya fedha anamwuza Bwana na Mungu wake. Kwa fedha mtu anaweza kununua vitu vingi lakini hawezi kununua utulivu, furaha, amani na kwa uhakika hawezi kuupata ufalme wa Mungu. Hivyo vipande 30 vya fedha Yuda hakuvifurahia na badala yake alijitundika mtini. Tujihadhali na fedha chafu vinginevyo tutaishia kama Yuda. Tumwombe Mwenyezi Mungu katika Yesu aliyekufa ili kuushinda ubaya nasi atuepushe na tamaa ya fedha, tamaa ya utajiri na tamaa mali. Siku hizi duniani na kwa namna ya pekee hapa kwetu Tanzania tunasikia na kusoma kama kwa Yuda juu ya ubaya wa tamaa hiyo ya fedha inayoua na kuharibu. Kuna wanaobaka watoto hata wa chini ya miaka miwili ili wapate fedha. Fedha ya dhambi, ya kufuru. Fedha hawatapata ila laana tu. Kuna wanaoua waalbino eti wapate fedha. Damu hiyo itakuwa kichwani mwao itawafanya waishie kuokota makopo bila hata senti mfukoni kama hawaongoki na kutubu na kuacha huo uovu. Kuna wanaokosesha watu haki zao, maskini, wajane, yatima kwa kuchukua rushwa na kupinda haki. Nawaombea waongoke kabla hiyo rushwa haijawatokea puani. Mafisadi wanachota mabilioni ya fedha wakati kuna watu wanashindia mlo mmoja kwa siku na kwa shida, watoto hawaendi shule kwa kukosa ada na vifaa, magonjwa yanauwa watu kwa kukosa dawa. Fisadi unahitaji shilingi ngapi kuishi vizuri, manyumba mangapi ulale vizuri, magari mangapi upate usafiri, viwanja vingapi ujenge nyumba? Je pesa hizo zote unazoiba bila huruma za nini? Pole hutanunua furaha au amani, ingawa utakuwa na majumba mengi ya fahari utashindwa kulala kwa amani hata katika kachumba kamoja, viwanja vyako vilivyojaa kila mahali hutajenga makazi ya upendo, magari yako ya fahari hayatakufikisha popote, biashara yako ya bandia itakupa kichaa. Tubu haraka au utaukosa ufalme wa milele. Kuwa kama Zakeo rudisha kila kitu ulichoiba na faida yake na inayobaki wasaidie maskini na wenye shida. Tumwombe Mungu atuepushe na mafisadi, ni balaa kubwa sana. Tuwe na viongozi wasio kuwa kama Pilato anayeogopa kusema ukweli, wenye kukataa shinikizo la ubaya. Waweze kuwakabili hawa mafisadi na kutokomeza ufisadi ili kila mtu ajue na kuelewa kwamba ufisadi hauna tija, haulipi hapo tu nipo utakoma. Wajue kwamba ukiwa fisadi ole wako utafute shimo la kujificha, hapo utakoma. Tusiwe na viongozi kama wakuu wa Wayahudi ambao shida yao ni woga wa kupoteza kula yao, madaraka, cheo na kwa kulindai masilai yao hayo wako tayari kumwua Yesu ili waendelee kukandamiza. Lakini tumshukuru Mungu kuna wengi walio na huzuni kwa ajili ya Yesu, ukianzia na mama yake Maria na wanawake waliomsindikiza, alikutana na wanawake njiani wakimlilia, kuna Simoni wa Kirene aliyemsaidia msalaba na wengine wengi waliokuwa na uchungu. Nasi tumwombe Mungu tuwe kama hao wanaoungana na mateso ya Bwana; wanaowajali maskini, wajane, wasio na sauti, yatima na wanyonge. Kuna kati yetu wanaotetea haki hata kama nikuweka maisha yao rehani. Kuna wanaolia kama Yohana Mbatizaji nyikani wakisema tubuni. Mungu awadumishe na kuwapa ujasiri. Katika ibada hii tutakuwa na maombi mbali mbali kwa ajili ya shida na matukio. Tutaliombea kanisa, viongozi wake waamini na wakatekumeni; tutawaombea wakristu wengine, wayahudi, wa dini za jadi, wasioamini nk. Naomba nawe uungane nami uongezee maombi yako kwa sababu huu ndio wakati maalum Kristo anapokufa kwa ajili yako na yangu. Kati ya maombi nitakayoyatoa rasmi kwa namna ya pekee tutawaombea viongozi wetu hasa wa hapa Tanzania tuwaombee maalumu, wawe imara katika kusimamia haki bila kuongopa mtu au kupendelea mtu ili taifa liweze kuwa salama. Tumwombee Rais wetu, mawaziri, wabunge, mahakama, viongozi wa serikali, vyama na taasisi. Tuwaombee wawe kama mfalme Sulemani alipopewa na Mungu fursa ya kuomba anachotaka aliomba busara na hekima ya kuamua kilicho haki na kupambanua kati ya chema na kibaya. Nasi leo hatuwaombei utajiri wa haraka haraka, au vyeo vikubwa, hatuwaombei fahari na raha bali kama mfalme Sulemani tuwaombee hekima na busara ya kutofautisha kati ya ngano na pumba, ya chema na kibaya, haki na uonevu, kati ya utumishi na wizi, huduma na rushwa, uongozi na ubabe, ushirikishaji na uswaiba, uchapakazi na uvivu, ushauri na ushabiki, ujasiliamali na ujambazi, uwekezaji na ufisadi, utawala bora na umangimeza. Wajue kwamba mambo ya dunia kama utajiri, umaarufu na ukubwa ni kama kivuli, ukikimbiza na kufukazana nacho hukipati kila mara kinakuacha lakini ukikipuuzia na kufanya mambo ya haki, ya heshima na utauwa, kinakufuata kila mahali uendapo. Mungu wape fadhila ya utu, uwajibikaji na uaminifu. Mama tazama mwanao Yesu anamwambia Mama yake Maria ampokee Yohana kama mwanae, na vile vile anamwambia Yohana tazama mama yako. Kwa maneno hayo ametukabidhi sote kwa mama yetu Maria. Yule Maria aliyepokea maiti ya mwanae toka msalabani ikiwa haina uhai na uso hautambuliki tena. Huyu ndiye mama yetu anayetembea na sisi katika shida zote kumwendea Mwane asemaye njooni kwangu nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mimi nitawapumzisha kwa sababu nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi. Tumbusu Kristu aliyesulubiwa msalabani na kufa kwa ajili yetu, tubusu msalaba wake kwa upendo na toba tukimwahidi kuwa waaminifu kwake. Mzigo mkubwa anaubeba yeye sisi anatuachia ule mwepesi. Ni kwake tu kuna uzima na wokovu. Nawatakia kumaliza vcema juma takatifu na kusheherekea vizuri siku ya pasaka tukiwa tumefufuka naye. AMINA

NENO LA LEO

“But blessed is the man who trusts in the LORD, whose confidence is in him. He will be like a tree planted by the water that sends out its roots by the stream. It does not fear when heat comes; its leaves are always green. It has no worries in a year of drought and never fails to bear fruit.”- Jeremiah 17:7-8

TPDF NDANI YA COMORO

Meshi yetu pamoja na kundi la mapaparazi yamewasili COMORO Kwenda kumtoa aliyejitwalia madaraka ya uongozi uko visiwa vya Anjwani Fresh batch of African Union (AU) troops arrived on the Comoros island of Moheli Friday, joining Comoran forces massed for a military offensive to retake the rebel island of Anjouan.

March 20, 2008

MITINDOS

Warembo wakionyesha mitindo mbalimbali ubunifu wa Elly Mlaki jijini.

NYAULAWA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof David Mwakyusa akimfariji mbunge wa Mbeya Vijijini mheshimiwa Richard Nyaulawa ambaye amelazwa katika hospitali ya Indraprastha Apollo kwa matibabu ya kansa ya utumbo, wakati Prof Mwakyusa na Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein walipofanya ziara katika hospitali ya Apollo leo.

March 19, 2008

HAPPY HOLIDAYS AND LOOOOOONG WIKEND

BONGO PIXS INAWATAKIA WOTE MASIKUKUUU MEMA NA YENYE FANAKA, PIA NA LOOOOOOONG WIKENDI NJEMA, TUWE WAANGALIFU ILITUKUTANE TENA TUKIWA SALAMA SALIMINI SIKU YA JUMANNE. HERI YA MASIKUKUUUUUUUUZ

Neno la wiki

The Coming Reward Let me quote to you from Daniel 12:3, which says,"Those who are wise shall shine like the brightness of the firmament, and those who turn many to righteousness like the stars forever and ever."There is a coming reward for those who turn people to righteousness. The dearest thing to God's heart is winning humanity and bringing them into His family. Nothing is more important to God. He bankrupted heaven and gave His only begotten Son to save humanity. The Bible teaches us that there will be a reward, my friend: authority in heaven, a place in heaven, honor in heaven. In addition to that, I want to hear, "Well done, good and faithful servant." Someday there is going to be a joy and a fullness in heaven, but there are some who will not experience that level of joy. The story is told that Cyrus, the king of Persia who had defeated Babylon and set the captive Jews at liberty, was walking through his garden one day with a visitor. The visitor was looking at all of the beautiful trees and shrubs and exclaimed how much pleasure the garden was giving him.Cyrus said, "Not nearly the pleasure it gives to me for, you see, I have planted every one of these trees myself."I think there is going to be something about being in heaven and seeing your fingerprints on people who are there because you shared, because you gave, and because you prayed. I believe there is going to be a greater joy for some because they did more for heaven while on earth than others. There is a coming reward!

HII NDO HALI HALISI

Wanafunzi wa darasa la nne shule ya Msingi Amani iliyopo Kigogo ndani ya jiji la Kandoro wakiwa ktk somo la sayansi na Mwalimu Makala. Shule hii inawanafunzi 2989, vyumba vya madarasa 17 na madawati 287, wastani kila darasa linatumiwa na wanafunzi wasiopungua 150, Ni wapi elimu yetu hii inawapeleka wanetu? je hapa panakuelewe kinachofundishwa kweli?

Matata

Matata na warembo wa bongo. Miss Tourism Queen International Tanzania 2008, Jamillah Munisi (katikati), akipozi kwa picha na Miss Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata (kushoto), Miss Earth Tanzania 2007, Angel Kileo muda mfupi kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kuelekea nchini China anakotarajia kushiriki katika mashindano ya Miss Tourism Queen International mjini Henan April 10 mwaka huu.

MAKAMUS

Makamu wa Rais Dr Shein na Mama Mwanamwema wakipozi mbele ya Taj Maal dani ya India leo.

NENO LA LEO

“But the fruit of the Spirit is love, joy, peace, patience, kindness, goodness, faithfulness, gentleness and self-control. Against such things there is no law.”- Galatians 5:22-23

March 17, 2008

Mji Mkongwe hatarini

Baadhi ya majengo ya Mji Mkongwe yanaitaji uangalifu na marekebisho ya haraka kwani yanahatarisha maisha ya wapita njia na zaidi watalii.

TEH TEH TEH.............

PANA JAMBO LA KUFURAISHA HAPA, MAANA JK ASHANGAA KULIKONI FAMILIA HII MADEMU TUUUUUU, MABACHELA CHANGAMKIENI HAPO..

FANI

Wanafani wanazidi kuongezeka, Jaji mkuu wa Zanzibar na Mkewe wakipata picha ya ukumbusho na JK. Tekelinalotujia limeleta mabadiliko mengi ktk ufanyaji kazi, kuingia kwa digital camera kumeraishisha watu kupata kumbukumbu pasi kumuhitaji mpiga picha mtaalamu, kila mtu aweza kwenda ktk shughuri na kakamera kadogo mfukoni na kuchukua kumbukumbu azitakazo. Je hii ya maanisha nini kwa wanafani? je huu ni mwisho wa wapiga picha wa mtaani na hata wa habari? naomba michango yenu na mitazamo juu ya fani hii na mustakabali wake.

HAKUNA WANAMUME HUKO?

Familia ya wanasheria ya De Mello, Je hakuna wanaume huko? auliza JK.

March 16, 2008

salam toka zenji

Karibu zenji, usijeona mabango ukadhani hatujapiga kula la hasha ni burudani tuipatayo tuonapo mabango hayo, mara ujisikiapo tumbo lahitaji basi si vibaya ukajipatia UROJO au Zanzibar mix ndo mlo wa kwetu siye.

MJI MKONGWE

Ramani ya mji mkongwe ndani ya restaurant ya sea view

Kipanyazzz

Neno la leo

“Therefore, as God's chosen people, holy and dearly loved, clothe yourselves with compassion, kindness, humility, gentleness and patience.”- Colossians 3:12

March 14, 2008

MAMBO YA ZENJI HAYOOOOO

Forodhani mambo kama kawa.

NENO LA LEO

The spirit of the Lord GOD is upon me; because the LORD hath anointed me to preach good tidings unto the meek; he hath sent me to bind up the brokenhearted, to proclaim liberty to the captives, and the opening of the prison to them that are bound.” Isaiah 61:1

March 11, 2008

TIMES ZAMBIA AT TSN TBC

Delegation of TIMES Printpak of Zambia is in Dar on

Familiarazation tour to TSN,

delegation is lead by Board Chairman Sebastian Kapulande, Board Member Saboi Soshimba and Deputy Editor in Chief John Phiri.

They also visited Tanzania Broadcasting Corporation TBC.

NENO LA WIKI

Wise Counsel It's important we learn to share the Word with people. Our testimony is powerful and should be shared. But even though that may move people and influence people, folks need to know they are anchoring their trust in the promises of God. Not just in a feeling they have gotten, not just because they feel influenced and moved--even if that is by the Holy Spirit. Why? Because feelings change. Our feelings can go up and down like a rollercoaster. You may be feeling God today, and tomorrow feel like He is nowhere around. Ever felt that way? I have had days when I have woken up and not felt God at all, even though I had experienced a good time with Him the night before. In those times, if I would have gone by my feelings, I would have said, "God, You have deserted me this morning. "But I know He hasn't because God's Word makes it clear that He never leaves us nor forsakes us. When a person is saved, they need to be anchoring their faith on the promises of God, not on their feelings. Promises like Romans 10:9-10, That if you confess with your mouth the Lord Jesus and believe in your heart that God has raised Him from the dead, you will be saved. For with the heart one believes unto righteousness, and with the mouth confession is made unto salvation. So when we witness to people, we need to give them the counsel, the promises of the Word of God.

March 10, 2008

Kipanyaz

NENO LA UZIMA

“But in your hearts set apart Christ as Lord. Always be prepared to give an answer to everyone who asks you to give the reason for the hope that you have. But do this with gentleness and respect,”- 1 Peter 3:15

March 6, 2008

NENO LA LEO

“[Praise to the LORD] O LORD, you are my God; I will exalt you and praise your name, for in perfect faithfulness you have done marvelous things, things planned long ago.”- Isaiah 25:1

????????????????????????????

Nini kinaendelea hapa????

March 4, 2008

TANZANIA NDANI YA LONDON TOWN BSU

Baadhi ya Watanzania wakiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Bw. Chabaka Kilumanga,kwenye moja ya mabasi ya London lenye matangazo ya utalii wa Tanzania.

MAUAJI DEREVA WA WAZIRI

Polisi wawili ni miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa dereva wa naibu waziri wa iliyokuwa wizara ya usalama wa raia na usalama wamefikishwa leo mahakama ya kisutu na kusomewa mashitaka.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...