Kama kuna warembo ambao hawachuji ktk dunia ya urembo basi ni huyu dada Jacquiline au apendavyo K-lyinn, ni miaka yapata nane toka atwae umiss bongo lakini bado bomba kinoma, na azidi kuwika ktk muziki wa bongo na sasa anaweb site yake http://www.klyinn.com/ tembelea upate vituzi vyake zaidi.
Bravo
February 2, 2008
Bush ziara
Ziara ya Rais Bush pamoja na usumbufu utakaotokana nayo italeta pia neema kwa baadhi ya sehemu na watu,
mfano toka kupata Uhuru kuna sehemu bongo japo ni nyeti na zipo katikati ya jiji hakukuwa na taa kama hii ya Sea view au Mtaa maarufu wa Azikiwe yote hii itawekewa taa za barabarani, pia Nyerere road yawekewa rami upyaaaaa.
Kali ni kuwa Hoteli zote kubwa zimechukuliwa na kulipiwa kabisa pamoja na minong'ono kuwa kuna vyumba vyafanyiwa maerekebisho ili viendane au vifae kukaa mbwa maalumu wa Bush.
Richard BBA 2
Big Brother Africa II Richard sasa awa SOS Children's Village Good Will Ambassador ama Balozi wa matumain wa Kituo cha yatima. pia amezindua mtandao wake waweza kubofya hapa www.richardbba2winner.com
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
HII NI HOSTEL YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WANAPOISHI WATAALAMU WETU WA AFYA WA KESHO.